Jumatatu, 10 Februari 2014

MKUTANO WA MAAFISA HABARI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI NCHINI ULIOFANYIKA JIJI LA TANGA TAREHE 3-8 FEBRUARY 2014

Mkutano huu wa Maafisa Habari uliokusanya zaidi ya maafisa 130 ulikuwa ni mkutano wa namna yake kwani kuna mambo mengi ambayo tumejifunza kwa lengo la kuongeza Ujuzi katika kazi zetu za kila siku na hata kubadilishana mawazo na maafisa Habari wengine waliotoka sehemu mbalimbali lakini pia pamoja na kujifunza vitu vingi tulipata nafasi ya kutembelea kituo kimoja cha wazee wanaoishi katika mazingira magumu na kutoa msaada wa vitu mbalimbali vyenye thamani ya shillingi millioni 2 na elfu sabini ambayo ilitoka kwa maafisa Habari wote walioshiriki kikao kazi hicho na baada ya hapo maafisa Habari waliweza kutembelea Mapango ya Amboni na hizi ni baadhi ya picha ya mambo yalivyokuwa huko Jiji la Tanga.











Hakuna maoni:

Chapisha Maoni